Tuesday 2 May 2017

SONNATA NDUKA:EDITOR WA FILAMU ALIYEGEUKA KUWA MUIGIZAJI TISHIO BONGO

'Editor"wa filamu za kibongo Sonnata Nduka amegeuka kuwa muigizaji tishio baada ya kufanya vizuri kwenye filamu ya Kesho Yangu na kudhihilishia watanzania uwezo wa kipaji wake wa kuigiza
Kwenye filamu hiyo ambayo imechezewa mjini Dodoma amecheza kama muhusika mkuu ambapo kwenye filamu hiyo anadhulumiwa mali zake za urithi lakini mwisho wa siku anasidiwa na kijana mmoja ambae alikua mwanasheria mwenzake

 Sonnata ame edit filamu mbali mbali ikiwemo Chungu cha tatu,Mzee wa swagga,Mahari ya dada na nyingine nyingi ambazo zinafanya vizuri sokoni