Thursday 27 April 2017

PIGO LA NAFSI COMING SOON


Filamu ya Pigo la Nafsi iliyoongozwa na muongozaji mahili kwenye tasnia ya filamu bongo John Lista inatoka hivi karibuni ikiwa imesheheni vipaji lukuki

Filamu hiyo inayosambazwa na kampuni kubwa ya usambazaji Steps entertainment inaelezea mambo mabli mbali yanayotokea kwenye maisha ya mahusiano

Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote Lister amesema filamu hiyo inamuhusu kijana amabe alikua nawatongoza wadada na kuwaabia atawaoa na kuwavalisha pete lakini mwisho wa siku anawambwaga

"Unajua maumivu ya mapenzi yanauma kama kidonda cha moto,kwenye filamu hii utaona jinsi kijana Nassoro alivyoteseka na maumivu ya mapenzi