Monday 13 June 2016

NEEMA NDEPANYA AMETOA ZAWADI KWA WATOTO YATIMA BAADA YA FILAMU YAKE YA KOBE LA MCHANA KUINGIA SOKONI



Mcheza filamu za kitanzania Neema Ndepanya ametembelea kituo cha watoto yatima Hiyali orphan center kilichopo changombe Sigara Dar es salaam na kuwapa zawadi ya vitu mbalimbali ikiwemo unga wa ngano pamoja na mafuta

Neema amefanya hayo kama shukrani ya filamu yake ya Kobe la mchana kuingia sokoni ikisambazwa na kampuni ya steps entertainment iko nchi nzima kwa hivi sasa

Thursday 9 June 2016

KAJALA KUJA NA SIKITU MWEZI UJAO







Mcheza filamu za kitanzania Kajala Masanja anatarajia kuachia filamu yake ya Sikitu baada ya mwezi mtukufu wa ramadhani



Akipiga stori na blog hii Kajala amesema filamu hiyo aliyomshirikisha Hemedi Suleimani,Mzee Majuto,Asha boko na wengine wengi inafundisha jinsi ya kuishi na ndugu yako wakike kwa mumeo

NISHA NA WOLPER NDANI YA BIFU ZITO,KISA KIKO HAPA

Mcheza filamu wenye jina kubwa nchini Salma Jabu nisha ameingia kwenye bifu kubwa na msanii mwezie Wolper baada ya kuweka picha hii na kuandika maneno haya hapa chini jambo ambalo Wolper alimtaka Nisha aeleze bwana wake gani ambae amenyakuliwa


Nisha ameandika haya

nishabebeemmoja kati ya hawa amejaa kwenye galary ya simu yangu na moyoni mwangu,otea A B C AU D? enhe.

heπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sa hv siweki hadharani maana nna phd ya kunyakuliwa.

sa hivi ni kumpost kwa mwendo kasiii yaani wengi wengi simtaji ng'ooo.

RAMADHAN QAREEM πŸ˜‚πŸ˜‚sasa andika matusi ufungulie.

nimesubiri siku hii muda jmn dah watu wakiwa wamefungwa makufuli midomoni na mwezi(waislam/waikristo wote wanauheshimu)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Baada ya ujumbe huo wa Nisha ndipo Wolper alitoa maoni yake kwenye picha hiyo kwa kuandika hivi


Baada ya maoni hayo kutoka kwa Wolper ndio Nisha aliamua kuandika haya hapa

ok guys kuna picture niliweka saa 4 asbh leo,za wasanii kadhaa wa music ambao niliweka na caption yangu kwa furaha zangu tu.

ila baada ya lisaa limoja ikaja coment hiyo ya msanii mwenzangu sikudhungumza chchte,i was like ok nikacheka tu.

then zikaja comments nyingi za kumuuliza kulikoni kuandika hivyo.

masaa mawili yaliyopita ukaandikwa waraka mzito mrefu unaosema. "Nisha aandaa show mtwara ya kumnasa Harmonize ila Wolper akagundua hilo akaamua kuongozana naye Harmo hadi huko kukwepa hilo (NA MANENO MENGI YA ZIADA YA UONGO.

ikimbukwe show imeshapita km week na haya maneno yamezuka leo baada ya hiyo coment.

guyz tuje kwenye point KWANZA KABISA SIJAMLENGA YYTE KWA NILIYEANDIKA NILIANDIKA KWA MAPENZI YNG KM NILIVYOANDIKA JANA STATUS YA VIDONDA VYA TUMBO,TENA HADI WADOGO ZNG NIKAWAAMBIA TAZAMA NACHEZA NA AKILI ZA WATU.

NIMESHANGAA HABARI ZA UONGO KUSAMBAZWA ZIDI YANGU TENA BAADA YA COMENT HII KWANGU.

POINT YA PILI KWA YYTE ANAYEULIZA NIMEANZA LINI UPROMOTA guyz mimi ni mfanyabiashara na kwenye pesa nipo,show ya MTWARA imenigharimu si chini ya ml.18 unadhani naweza poteza pesa zote hizo kisa mapenzi?sina ujinga huo wa akili.

NA SIJAWAHI KUMTAKA NA SITOTARAJI KWANZA SIJAZOEA KUPITA ANAPOPITA MTU HASWA NNAYEMJUA.

TATU nimeandaa show ingine ramadhan ya 13 DAR-ES-SALAAM inahusu ramadhan.

na nna SHOW SKUKUU YA IDD MOSS NA IDD PILI MIKOANI ZOTE MM NDO MUANDAAJI NA KUNA WASANII WAKUBWA TU JE HAO PIA NATAKA KUWANASA? HE.

IFIKE HATUA TUSIWE TUNABALANCE MTU MMOJA NA PIA SIO KILA ASIYEDHUNGUMZA NI MNYONGE SANA ILA KUNA WKT DRAMA HAZINA MUDA INABIDI UPIGE KAZI MAANA MAISHA YANAENDA MBELE HAYARUDI NYUMA.

NB:SHUKRAN KWA WEWE UNAYESAMBAZA UJUMBE HUU WA UONGO SINA CHA KUKWAMBIA NIMEPITIA MENGI MAKUBWA SO HILI KM NACHEZA MDAKO. (mwenye uelewa kaelewa chanzo cha story inayosambaa imetoka wapi,nimeandika hapa kwa manufaa ya mashabiki zangu wote watakaobahatika kusoma habari hizo za uongo.

Friday 3 June 2016

ANGELA YA ROSE NDAUKA YAINGIA MTAANI



Filamu ya Angela kutoka kwa Rose Ndauka imeingia mtaani wiki hii ikisambazwa na kampuni ya  steps entertainment

Filamu hiyo ambayo ni movie ndani ya movie ina hadithi nzuri ya kimapenzi ambyo inafundisha na kuekimisha pia

kwenye filamu hiyo ya Angela Rose ameshirikiana na wasanii wengine akiwemo bi Hindu na chipukizi wengi kwa lengo la kukuza vipaji

Thursday 2 June 2016

ROSE NDAUKA ANATUALIKA KUANGALIA FILAMU HII INAITWA ANGELA

KAJALA MASANJA KUJA NA SIKITU BAADA YA MWEZI WA RAMADHANI







Mcheza filamu mwenye jina kubwa Tanzania Kajala Masanja anatarajia kuachia filamu yake ya Sikitu baada ya mwezi mtukufu wa ramadhani, akifunguka kiafrika bila hofu yoyote amesema kwenye filamu huyo amecheza na wasanii mbali mbali akiwemo mzee Majuto na Hemed Suleiman itakuwa funzo kwa wanandoa wanaoishi na wadogo zao wa kike Kjala amesema filamu hiyo inasambazwa na kampuni kubwa ya usambazaji nchini steps entertainment

MWANAHER YA MWANAHER YAKAMILIKA KUINGIA SOKONI HIVI KARIAKOO

Wednesday 1 June 2016

HII NDIO ZA WADI YENU YA RAMADHANI KUTOKA KWA NEEMA NDEPANYA INAITWA KOBE LA MCHANA

KAMA ULIPITWA NA INTERVIEW YA FILAMU YA DOTTO HII HAPA

ODAMA:NAJIKUBALI NA SIFANANI NA MTU LABDA HUYO MTU AFANANE NA MIMI

 Mcheza filamu za kitanzania Jennifer Kyaka(Odama)kupia ukurasa wake wa instagram ametoa hizi zake juu ya watu wanaopenda kujifananisha na na watu flani na kuacha kujikubali wenyewe

Odama amesema

Kitu Kinachofanya Usijikubali Na Kujiona Wewe Ni Mrembo Na Wakipekee Kuliko Warembo Wote Ni Kujaribu Kujifananisha Na Flani Ama Kuwa Kama Flani Unatoka Kwenye Uhalisia Wako Na Unaacha Kuitambua Nguvu Iliyo Ndani Yako Na Kuanza Kuitamani Na Kuivaa Nguvu Na Uhusika uliyo Ndani Ya Mwingine


Jikubali Ulivyo Kuwa Wewe Ni Wakipekee Na Kwavile Ulivyo Waeza Tengeneza Upekee Wako Bila Hata Ya Kujibadilisha Kuwa Kama Flani Ama Kundi La Watu Wengi.....


Kujiamini Huleta Kujitambua Na Kujitambua Humfanya Mtu Afanikiwe Na Kuimarika Ktk Uhalisia Wa Vitu Vyake Vyote Vinavyomzunguka..... Kujikubali Sio Rahisi Kama Hujitambui Wewe Ni Nani, Ila Wote Wanao Jitambua Hujiamini Na Huifurahia Nguvu Yao Ya Kuwa Wakipekee Hufurahia Kuutengeneza Upekee Wao Na Kusimamia Kweli Yao .... Morning guysπŸ‘‹