Saturday 3 January 2015

KAJALA ANAUANZA MWAKA NA FILAMU YA HEART ATTACK



Mcheza filamu gredi wani kwenye tasnia ya filamu Tanzania Kajala Masanja nafungua mwaka na filamu inayokwenda kwa jina la Heart Attack,filamu hiyo inayotoka mwezi huu inasmbazwa na kampuni kubwa ya usambazaji steps entertainment

No comments:

Post a Comment