Wednesday 1 February 2017

WASTARA KUJA NA HAPENDEKI MWEZI HUU

Mcheza filamu grade 1 kwenye filamu za kibongo Wastara Juma anatarajia kuachia filamu yake ya Hapendeki mapema mwezi huu

filamu hiyo amewashirikisha  waigizaji wengi wageni kwenye kiwanda cha filamu nchini

Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote amesema filamu hiyo inahusu matukio ya uswahilini na kwamba kuna timu mbili zilikua zinagombana mtaani ambazo ni timu Hapendeki ambayo yupo yeye na timu Zamoyoni ambayo amecheza Rehema muingizaji anaekuja juu kwa kasi

"Naomba mashabiki zangu Tanzania nzima wakae mkao wa kufurai maana filamu hii ninayokuja nayo sio mchezo nimebadilika sana hivyo ikitoka utakiwi kukosa  na hautajutia pesa yako

No comments:

Post a Comment