Wednesday 1 February 2017

FUNZO YAMKUTANISHA MWANAHER,CHUCHU ANSI NA AUNT EZEKIEL

Filamu ya Funzo inatarajia kutoka jumatatu uku ikiwa imewakutanisha Mwanaher,Chuchu Ansi na Aunt Ezekiel ambao ni waigizaji grade 1 kwenye tasnia ya filamu bongo

filamu hiyo inayozunguzmia kuwa binadamu ndio kimbe bora kati ya viumbe vilivyoumbwa na mungu laiki mbali na kuwa na sheria lakini mtu anaweza kuishi kinyume na sheria

Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote Mwanaheri anasema

"Mwanadamu ndio kiumbe bora kati ya viumbe vilivyo umbwa na mungu.Mbali ya kuwekewa sheria juu ya namna gani mtu anaweza kuishi baadhi ya binadamu wamekuwa wakiishi kinyume na sheria za mungu ila kwa sababu mungu ni mwenye huruma huwasamehe. Ila kaa ukijua kuwa kuna baadhi ya mipaka hairuhusiwi kuvukwa"

filamu hii itapatikana nchi nzima siku ya jumatatu tarehe 6 nwezi huu sio ya kukosa kabisa

No comments:

Post a Comment