Thursday 9 June 2016

NISHA NA WOLPER NDANI YA BIFU ZITO,KISA KIKO HAPA

Mcheza filamu wenye jina kubwa nchini Salma Jabu nisha ameingia kwenye bifu kubwa na msanii mwezie Wolper baada ya kuweka picha hii na kuandika maneno haya hapa chini jambo ambalo Wolper alimtaka Nisha aeleze bwana wake gani ambae amenyakuliwa


Nisha ameandika haya

nishabebeemmoja kati ya hawa amejaa kwenye galary ya simu yangu na moyoni mwangu,otea A B C AU D? enhe.

heπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sa hv siweki hadharani maana nna phd ya kunyakuliwa.

sa hivi ni kumpost kwa mwendo kasiii yaani wengi wengi simtaji ng'ooo.

RAMADHAN QAREEM πŸ˜‚πŸ˜‚sasa andika matusi ufungulie.

nimesubiri siku hii muda jmn dah watu wakiwa wamefungwa makufuli midomoni na mwezi(waislam/waikristo wote wanauheshimu)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Baada ya ujumbe huo wa Nisha ndipo Wolper alitoa maoni yake kwenye picha hiyo kwa kuandika hivi


Baada ya maoni hayo kutoka kwa Wolper ndio Nisha aliamua kuandika haya hapa

ok guys kuna picture niliweka saa 4 asbh leo,za wasanii kadhaa wa music ambao niliweka na caption yangu kwa furaha zangu tu.

ila baada ya lisaa limoja ikaja coment hiyo ya msanii mwenzangu sikudhungumza chchte,i was like ok nikacheka tu.

then zikaja comments nyingi za kumuuliza kulikoni kuandika hivyo.

masaa mawili yaliyopita ukaandikwa waraka mzito mrefu unaosema. "Nisha aandaa show mtwara ya kumnasa Harmonize ila Wolper akagundua hilo akaamua kuongozana naye Harmo hadi huko kukwepa hilo (NA MANENO MENGI YA ZIADA YA UONGO.

ikimbukwe show imeshapita km week na haya maneno yamezuka leo baada ya hiyo coment.

guyz tuje kwenye point KWANZA KABISA SIJAMLENGA YYTE KWA NILIYEANDIKA NILIANDIKA KWA MAPENZI YNG KM NILIVYOANDIKA JANA STATUS YA VIDONDA VYA TUMBO,TENA HADI WADOGO ZNG NIKAWAAMBIA TAZAMA NACHEZA NA AKILI ZA WATU.

NIMESHANGAA HABARI ZA UONGO KUSAMBAZWA ZIDI YANGU TENA BAADA YA COMENT HII KWANGU.

POINT YA PILI KWA YYTE ANAYEULIZA NIMEANZA LINI UPROMOTA guyz mimi ni mfanyabiashara na kwenye pesa nipo,show ya MTWARA imenigharimu si chini ya ml.18 unadhani naweza poteza pesa zote hizo kisa mapenzi?sina ujinga huo wa akili.

NA SIJAWAHI KUMTAKA NA SITOTARAJI KWANZA SIJAZOEA KUPITA ANAPOPITA MTU HASWA NNAYEMJUA.

TATU nimeandaa show ingine ramadhan ya 13 DAR-ES-SALAAM inahusu ramadhan.

na nna SHOW SKUKUU YA IDD MOSS NA IDD PILI MIKOANI ZOTE MM NDO MUANDAAJI NA KUNA WASANII WAKUBWA TU JE HAO PIA NATAKA KUWANASA? HE.

IFIKE HATUA TUSIWE TUNABALANCE MTU MMOJA NA PIA SIO KILA ASIYEDHUNGUMZA NI MNYONGE SANA ILA KUNA WKT DRAMA HAZINA MUDA INABIDI UPIGE KAZI MAANA MAISHA YANAENDA MBELE HAYARUDI NYUMA.

NB:SHUKRAN KWA WEWE UNAYESAMBAZA UJUMBE HUU WA UONGO SINA CHA KUKWAMBIA NIMEPITIA MENGI MAKUBWA SO HILI KM NACHEZA MDAKO. (mwenye uelewa kaelewa chanzo cha story inayosambaa imetoka wapi,nimeandika hapa kwa manufaa ya mashabiki zangu wote watakaobahatika kusoma habari hizo za uongo.

No comments:

Post a Comment