Thursday 8 January 2015

HEART ATTACK YAWAKUTANISHA KAJALA NA WOLPER

 Filamu mpya ya Heart Attack imeingia sokoni leo,okiwakutanisha Kajala na Wolper,mastaa hao ambao awajawai kucheza filamu ya pamoja wamesema filamu hii ni nzuri na inamafundisho makubwa kwenye maisha.
Akifunguka kiafika bila hofu,yoyote Kajala amesema filamu hiyo inahusu mtua muaminifu anapotenda dhambi ya uongo pasipokutegemea kua anaumiza moyo wa mtu na kusahau kwenye maisha mengi utokea.

Mbali na Kajala na Wolper kwenye filamu hiyo pia yupo Slim Omary na Hemed Suleiman,na inasambazwa na steps Entertainment sio ya kukosa hii ni fungua mwaka

No comments:

Post a Comment