Saturday 3 January 2015

STAA WA FILAMU YA HAKUNA MATATA SALMA JABU NISHA AMEINGIA MTAANI JANA KUWASAKA PANYA RODI

 Baada ya usiku wa jana jiji la Dar kuwa kimya kutokana wa watu kufungwa shughuli zao mapema kuwakimbia panya rodi,mcheza filamu anaetamba kwa hivi sasa kwenye upande wa kuchekesha Salma Jabu Nisha ameamua kuingia mtaani kuwasaidia polisi kwatafuta na kuwakamata Panya rodi
Nisha ambae anatamba kwenye soko la filamu na filamu yake ya Hakuna Matata aliyoiachia mwishoni mwaka jana hakufanikiwa kumkamata ata mmoja hivyo kurudi nyumbani kwake kulala
Kupitia ukurasa wake wa instagram Nisha ameweka video inayomuonesha akiwasaka panya rodi uku wengine wakimsifia na wengine wakimponda eti anachekesha na kutafuta kiki,instagram unaweza kumpata kwa jina la nishabebe

No comments:

Post a Comment