Tuesday 6 January 2015

RIYAMA,MAJUTO NA AUNT EZEKIEL WAKUTANA NDANI YA FIMBO YA MUNGU

Wacheza filamu wenye majina makubwa nchini  Riyama,Majuto na Aunt Ezekiel wamekutana kwenye filamu mpya ya Fimbo ya Mungu 

Akiongelea filamu hiyo muaandaji wa filamu hiyo Rgina amesema filamu hiyo inamuhusu Salma ni binti amabaye alikuwa na hali mbaya ya maisha,alisaidiwa bna dada tajiri anayeitwa Regina ni Bar maid,

alimchukua na kuishi naye ndipo Salma akaigeuka familia ya Regina na kutaka kuwazulumu mali,matokeo yake ikawa Fimbo ya Mungu pata nakala yako sasa hipo madukani inasambazwa na kampuni ya steps entertainment

No comments:

Post a Comment