Saturday 3 January 2015

'MAGGIE DA FINEST"DIAMOND UKIMRUDIA WEMA NTAKUSHANGAA SANA



Actress na video queen Maggie Da finest amesema kama nyota wa bongo fleva Nasb Abdul maarufu kama Diamond atarudiana kimapenzi na Wema Sepetu basi atamshangaa sana kwa maamuzi yake kwani mpenzi wake wa sasa hivi Zari wanaendana nane

Da finest amesema wakati Diamond alipokuwa anaachana na Wema Sepetu na kutoka na kina Joketi na Penny moyo wake ulikua unamuhurumia sana Wema,lakini kwa sasa hivi tangu aliposikia anatoka kimapenzi na Zari moyo wake umekua na amani sana na anaomba Diamond amuoe Zari na aondokanae na tabia ya kubadili warembo wa Afrika Mashariki

No comments:

Post a Comment