Monday 3 November 2014

FILAMU YA INEVITABLE LOVE YAINGIA SOKONI LEO

 Filamu mpya kutoka bongo movie Inevitable love imeingia sokoni leo ikisambazwa na kampuni ya steps entertainment,filamu hiyo  inayo muhusu kijana mmoja anayetoka kwenye familia ya kitajiri na kulazimishwa kumuoa msichana  ambae pia kwao ni matajiri ila yeye ajampenda

kwenye filamu hiyo amecheza Rose Ndauka na Hashim Kambi pamoja na mastaa wengine kibao

No comments:

Post a Comment