Thursday 16 October 2014

BETRAYAL FOR LOVE YAINGIA MTANII LEO

 Filamu mpya ya kitanzania Betrayal for Love imeingia mtaani leo ikisambazwa na kampuni ya steps entertainmet,filamu hiyo amabayo imechezwa na wasanii wenye majina makubwa nchini nchini akiwemo Batuli inahusu usaliti wa kimapenzi ambapo umasikini unafanya mwanaume asalitiwe

No comments:

Post a Comment