Wednesday 15 October 2014

KAMPUNI YA STEPS YASHINDA TUZO YA USAMBAZAJI BORA WA FILAMU KWENYE TUZO ZA ACTION AND CUT MWAKA 2013,2014

 Kampuni ya kuzalisha filamu inayoongoza nchini Tanzania Steps entertainment imeshinda tuzo ya usambazaji bora wa filamu nchini kupitia tuzo za action and cut.
 Mbali na steps kushinda tuzo hizo pia wasanii wengi walioshinda tuzo wametokea kwenye filamu ambazo zinasambazwa na kampuni hiyo hivyo kudhihilisha kuwa filamu zake ndio zinaangaliwa na watu wengi kuliko za kampuni yoyote nchini kwani zanakiwango kikubwa
Wastara Sajuki akikabidhiwa tuzo ya mcheza filamu bora wa kike kupitia filamu ya Mr&Mrs Sajuki ambayo imesambazwa na steps

Mkurugezi wa Steps Dileshi akiwa na mtangazaji wa kipindi cha action and cut bond bi sinnan

Mcheza filamu Haji Adamu


Mcheza filamu Gabo akiwa na tuzo yake ya msanii bora wa kiume kupitia filamu ya Bado natafuta ambayo imesambazwa na steps

Isike Samweli



No comments:

Post a Comment