Monday 20 October 2014

FILAMU YA CHUNGU KIMOJA YAINGIA SOKONI

 Filamu ya Chungu kimoja aliyocheza Mzee Majuto akiwa na Aunt Ezekiel imeingia sokoni leo,filamu hiyo ya komedi inasambazwa na kampuni kubwa nchini ya steps entertainment
Akiongelea filamu hiyo Mzee Majuto amesema Chungu kimoja ni sawa na usilolijua ni sawa na usiku wa giza unaweza ukajikuta ukiwa kwenye wakati mgumu usijue la kuamua na kuamua kukaa kimya kusubiri lolote litakalokukuta

No comments:

Post a Comment