Friday 17 October 2014

FILAMU YA BETRAYAL FOR LOVE YAMRUDISHA BATULI KWA KISHINDO




Filamu mpyaa ya kitanzania ambayo imetoka jana ikisambawa na kampuni ya steps entertainment imeonekana kumrudisha kwenye filamu mcheza muigizaji mwenye jina kubwa nchini Batuli kutokana na ajinsi alivyocheza kwenye filamu hiyo

Baadhi ya mashabiki wa filamu waliyoona wamesema filamu hiyo ni nzuri na inamafundisho makubwa sana ndani yake

No comments:

Post a Comment