Wednesday 15 October 2014

FILAMU YA BETRAL FOR LOVE YAWAKUTANISHA BATULI NA PATCHO


 Mcheza filamu za kitanzania Batuli amekutana na Patcho Mwambo kwenye filamu ya Betral for love inayotoka kesho,.Filamu hiyo inayohusu msichana ambae aliamua kumkimbia mpenzi wake kisa umasikini na kusahau

Filamu hii pia ndani yake yumo Hemedy Suleimani inasambazwa na kampuni kubwa ya filamu Tanzania steps entertainment usikose nakala yako kuanzia kesho

No comments:

Post a Comment